Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Coca Hana Cha kupoteza Tena, kama ni innovation kafanya vya kutosha.Pengine aisee,
Mana sio kwa ladha hii ya siku hzi
Ahaaaa labda hio mkuuCoca-cola na Pepsi nzuri ni za Amerika ya Kusini nchi kama Mexico. Mexico always wana vyakula vizuri ukiwaletea vinywaji vyenye radha ya kipuuzi hawanywi.
Wakati soda za nchi nyingine wanatumia corn syrup kama sweetener, sasa yawezekana na Coca-cola zetu wamebadili sweetener na labda wanatumia maji mabaya. Kinywaji kizuri ni kile kinatumia sukari ya miwa isiyochakachuliwa.
Ila soko limeshuka tofauti na miaka ya nyumaSoko lipo na zinatoka sema sijui kwann kazitoa zile kubwa sokoni, kabakiza tule tutoto,
Sema nae SSB ana upuuzi sometimes
Watu mnajaribu kuharibu biashara ya Coca Cola. Ilishawahi semwa mara sijui wanatumia gesi ya nguruwe nikachoka , mara coca ni ule mmea wa cocaine, sasa tena inakuja ladha. Wapo ambao mpaka wanatuwekea Coca ukiweka kwenue sufuria ukachemsha sukari yake ni balaa utadhani ni Coca pekee ndiyo inasukari.Wewe kama umependa azam cola endelea nayo ila kiukweli Coca Cola bado ipo juu hakuna mfano wake wengi walikuja wakapotea , ulizia Double Cola ilikuwa kanda ya ziwa miaka hiyo.Product za Coca Cola ni best Kuanzia Coca yenyewe, Fanta , sprite , Ginge Rare , Bitter Lemon. Hakuna wa kumfikia Coca ni ya kimataifa. Kidogo Pepsi amejaribu na Pepsi Cola lakini bado Coca Cola ipo juu.Umeshaenda Arusha au Kilimanjaro Ukajaribu? Issue wakati mwingine muulize ni maji ya Dar ndiyo shida ila siyo formular sababu hvi viwanda vina Trade Mark tola Coca Cola International. Shida ni maji yenu. Hata Azam angekuwa anatengeneza hiyo cola yake Mfano kilimanjaro ungeona tofauti ya Dar na ya Kilimanjaro.Tuache kupigia promo bidhaa kwa kukandia zingine . Coca atabaki kuwa juu tu............(salamu)
Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an,
Anyway may be ni ulimi wangu tu, vipi kwenu
Mimi soda zote za plastic huwa nahisi zina taste tofaúti na za chupa ambayo huwa ziipendi. Nahisi plastic kuna jinsi zinavyo react na kinywaji kilicho kwenye plasticKajaribu ya plastiki utaipenda
.............Zingatia ile Coca cola yenye kizibo cheusi ni zero sugar yenye kizibo chekundu ndio radha halisi, usijekuwa umekunywa zero sugar?...........(salamu)
Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an,
Anyway may be ni ulimi wangu tu, vipi kwenu
Mkuu mpaka hapa umeshawekw wazi masilahi yakoAnyway may be ni ulimi wangu tu