Azam Confederation Cup, Yanga VS Coastal Union 24:04:2016

Wambura anasema eti watamalizia dakika zilizobaki 15,ligi za tanzania ni bora ya zile mechi zetu za mchangani mpira wa makaratasi
 
Hata maamzi ya TFF yataipa yanga ushindi.Nimeona yafuatayo 1.Ngoma kafunga kwa offside
2.Yule babu alipaswa apewe red lakini kapewa yellow.
3.Tambwe kafunga na kiwiko.
Kwa hali hii washabiki wanyamaze tuu watani.
 
Hahahah mikia mnachonga mno
 
Mashabiki wa mikia wameleta fujo
Hivi ile faulo ya makusudi ya mchezaji wa yangaa na hajapewa hata njano anapewa nyekundu mtu mwinginee! Yaani kifupi mwamuziiii wa Leo kachemka game imemshindaaaa mbayaaaa kama kweli hakupokea pesa

Mbona yanga waliifunga costal goli 8 na walikubali coz mpira ulikuwa Fare kwanini leo

Kifupi MWAMUZI WA LEO KAZINGUA GOLI LA NGOMA ILE NI OFFSIDE YA WAZI KABISAAAAAA

MWAMUZI ALITUMWA HUYU
 
Hata maamzi ya TFF yataipa yanga ushindi.Nimeona yafuatayo 1.Ngoma kafunga kwa offside
2.Yule babu alipaswa apewe red lakini kapewa yellow.
3.Tambwe kafunga na kiwiko.
Kwa hali hii washabiki wanyamaze tuu watani.
Kuna maelekezo lazima mtu ashinde.
 
Ongeeni yote...referee wa leo hakua makini
Bora hilo Refa leo Ameshikishwa Pesaaa huyooooo

Lakini kwa TFF YA MALINZI SINA WASI WASI NA MAAMUZI HAPO COSTAL WATAAMBIWA NDO WENYE VURUGU HIVYO YANGA IMEPITA!

NITAMKUMBUKA SANA TENGA
 
Ndio ukweliii Leo Mlibebwa sasa mmekutana na watu wasio wavumilivu
bila shaka wamatopeni ndo wameleta fujo maana juzi mlipiga mpka hansope sasa mtashndwaje kuwapiga wengine
 
Hivi ile faulo ya makusudi ya mchezaji wa yangaa na hajapewa hata njano anapewa nyekundu mtu mwinginee! Yaani kifupi mwamuziiii wa Leo kachemka game imemshindaaaa mbayaaaa kama kweli hakupokea pesa

Mbona yanga waliifunga costal goli 8 na walikubali coz mpira ulikuwa Fare kwanini leo

Kifupi MWAMUZI WA LEO KAZINGUA GOLI LA NGOMA ILE NI OFFSIDE YA WAZI KABISAAAAAA

MWAMUZI ALITUMWA HUYU
Ile faulo ilikua n straight red card....
 
Nahisi leo ningekuwa uwanjani ningepata kesi ya jinai..!
Dhahiri bin Shahri leo kuna namna imefanyika asee! Yanga wamebebwa sana kupita maelezo dah..!
Kwa hali hii soka letu haliwezi kusonga na kamwe tutaendelea kutolewa kwenye michuano ya Kimataifa
 
Ndo ukweli mkuu!
 
Back
Top Bottom