amna wale wametuzidi tunakubali ila mnyama na coast tunapiga tuKwa Misri mlienda kufanya nini si kuangalia Mashabiki wa Aly hal Hellua hellua
MalinziNani anabeba?
Teh mnapigaje yaaniamna wale wametuzidi tunakubali ila mnyama na coast tunapiga tu
Sio Yanga tu hata Simba na kwa mbaali naiona Azamu nayo inaingia kwe mkumbo ule ule...........ngoja niendelee kukomaa na ligi ya Uingereza kwa wanaojua mpira!!!Tunaposema Yanga inaua mpira wa bongo.Huwa tunamaanisha.
AnayebebaNani anabeba?
Mchezaji ambaye si gollkeeper anaruhusiwa kucheza mpira kwa mkono,au wanaposema kubebwa unafikiri wenzako wanalalamikia nini...Straight red card kwa Oscar Joshua kwa rafu mbaya ambapo ilitolewa yellow card tu.mimi ni mfuasi wa Yanga. sijaona maamuzi yoyote ya kuashiria eti Yanga imebebwa. huo ni ulalamishi wa kike (ingawa nawaheshimu sana wanawake).
lakini, on the balance of play over 90 minutes, Coastal walistahili ushindi. wamecheza mpira mkubwa kuliko Yanga....isipokuwa hawakuwa na mipango mizuri kwenye final third. nadhani Yanga bado wana uchovu wa lile valangati la kule Egypt.
so....for the sake of football, Coastal walistahili kushinda, and as a Yanga fan I wouldn't have complained too much because a better team ndiyo ingekuwa imeshinda!
perception & perspective, chief....Mchezaji ambaye si gollkeeper anaruhusiwa kucheza mpira kwa mkono,au wanaposema kubebwa unafikiri wenzako wanalalamikia nini...Straight red card kwa Oscar Joshua kwa rafu mbaya ambapo ilitolewa yellow card tu.
Yaaani nyie wa mchangani mnashida sana..yaani mnaiombea mabaya Yanga as if mnaghalimika chochote na ushindi wakeKibendera aliechezesha game ya Yanga ni halali yake kupigwa jiwe la kichwa anaonyesha mapenzi ya waziwazi kabisa kwa Yanga ndomana TFF wanajishushia heshima kadri siku zinavyoenda mana wanachukua waamuzi ambao hawana uwezo wa kuchezesha nusu fainali wanasababisha mpaka mechi inaishia njiani..
wewe so uko honeymoon wewe?Yaaani nyie wa mchangani mnashida sana..yaani mnaiombea mabaya Yanga as if mnaghalimika chochote na ushindi wake
na coastal hao hao waliwapiga yanga mbili bilaMwaka huu mikia watasema sana.
Goli la Ngoma lilikuwa safi kabisa, hamna offside hapo.
Ni kweli Oscar alistahili straight red card lakini haibadili matokeo ya mchezo. Coastal waliingia uwanjani wakiamnini lazima washinde. Sijui jeuri hiyo wanaipata wapi ukiangalia nafasi yao kwenye msimamo wa ligi. No Coastal huyo huyo aliyepigwa nane bila wakiwa chini ya Julio.