Azam Decoder ya Rwanda inauzwa

Azam Decoder ya Rwanda inauzwa

Chegge

Senior Member
Joined
Mar 18, 2026
Posts
159
Reaction score
3
Kifurushi cha mwezi, 14k(elfu).
Azam Sport zote 5 zipo.
Mwenye uhitaji aje inbox. Bei maelewano
 
Mbona tz bei juu
Ujue inategemea na uchumi wa nchi.
Mfano kama Canal+ ya Rwanda na Burundi, bei ni ya nyanya. Lakini ukipewa ya Congo, gharama yake ni kubwa na kifurushi ni kile kile
 
kwahiyo kina channel zote kama cha hapa bongo?
Ujue inategemea na uchumi wa nchi.
Mfano kama Canal+ ya Rwanda na Burundi, bei ni ya nyanya. Lakini ukipewa ya Congo, gharama yake ni kubwa na kifurushi ni kile kile
 
Hakuna kinachoshindikana mkuu, vipo watu wanavyo na wanalipia
Eleza unalipiaje boss, yani unatumia njia gani ku bypass elfu 28 ukishakuwa na hicho kidude.

Kumbuka malipo hayaendi azam tv rwanda yanakuja azam tv bongo ambako ili wakuunganishe lazima wapokee 28k
 
Back
Top Bottom