MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Azam energy imepanda bei, kutoka 500/- ikaja 600/- Sasa imepanda bei maradufu mpaka 800/-
Je, ipi sababu ya bei kupanda? Labda kodi imeongezeka, gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa, kiburi na jeuri ya kujiona hana mpinzani au ni Nini? Gharama imeongezeka na kuwa kubwa ghafla sana.
Huko kwenu inauzwaje?