Azam energy imepanda bei maradufu! Ni kodi, gharama au kiburi?

Azam energy imepanda bei maradufu! Ni kodi, gharama au kiburi?

Azam energy imepanda bei, kutoka 500/- ikaja 600/- Sasa imepanda bei maradufu mpaka 800/-

Je, ipi sababu ya bei kupanda? Labda kodi imeongezeka, gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa, kiburi na jeuri ya kujiona hana mpinzani au ni Nini? Gharama imeongezeka na kuwa kubwa ghafla sana.

Huko kwenu inauzwaje?
Ikiwezekana iuzwe 1500/= tsh
 
Ungelalamikia bei ya unga wa ugali hapo sawa, sasa Energy si unaacha tu au umeshakua addicted huwezi kufanya kazi yoyote hadi upige chupa moja
 
Back
Top Bottom