MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Zote zimepanda beiGsm energy, mo energy, commando, jembe. Option unazo nyingi
Inawezekana ndiyo sababu zimepandishwa bei ili ku discourage matumiziSi nilisikia zinataka kufungiwa!?
Mi nikajua labda hawa wauza jumla wanatuzingua kumbe ni kote banaJumla wiki iliyopita tulikuwa tunachukua kwa 12000, kwa sasa ni elfu 16000
ishu ni ladha, zina ladha tofautiGsm energy, mo energy, commando, jembe. Option unazo nyingi
Hebu naomba niunganishe na mawakala waooo basi kama una namba zaoooAzam energy imepanda bei, kutoka 500/- ikaja 600/- Sasa imepanda bei maradufu mpaka 800/-
Je, ipi sababu ya bei kupanda? Labda kodi imeongezeka, gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa, kiburi na jeuri ya kujiona hana mpinzani au ni Nini? Gharama imeongezeka na kuwa kubwa ghafla sana.
Huko kwenu inauzwaje?