Kama Sheria itamtaka afanye hivyoRefa atatoa penalty muda sio mrefu kwa Yanga
Ongea wewe mkuu anao mwingiDjuma Shaban ni mtu na nusu
74Dk ya ngapi huko?
[emoji1787]Refa anaendelea kutoa assist
Assist gani mkuuRefa anaendelea kutoa assist
Achana nao Hao mkuuAssist gani mkuu
Wewe ndiyo unaiona rahisi mwenzio anaomba iisheKipa wa azam anaonyesha udhaifu kwa kupoteza muda kwenye mechi rahisi kama hii