Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Profesa awe makini na Sure Boy! Ameshakula kadi ya njano. Akimuacha mpaka mwisho, atapigwa kadi ya pili ya njano + red kadi!

Ni mwepesi wa kupaniki na kutoka nje ya mchezo.
We unataka tufungwe sasa akitoka sureboy atacheza nani nafasi yake?? Bila ile card angemuuacha yule jamaa ile ilikua ni kamba kabisa
 
Dakika 45 za kipindi Cha pili ,atakayefungwa kafungwa
 
Swala la vitu kupanda bei limerahisisha sana thamani ya marefa kushuka

Saizi saizi sio kama zamani yani kufanya mapatano na marefa sio pesa kubwa kama zamani

Saizi ukimuhakikishia kumpa unga baada ya mechi hachomoi
Kweli kabisa azam watakua wamemuahidi refa kumpa unga,Michele,mafuta na maandazi maana Agrey Morris aliunawa kabisa mpira kwenye box akapeta
 
Huyu refa wa leo ndio sababu mpira wa bongo hauna hadhi ya kupata udhamini mzuri
 
Kweli kabisa azam watakua wamemuahidi refa kumpa unga,Michele,mafuta na maandazi maana Agrey Morris aliunawa kabisa mpira kwenye box akapeta
Ulitaka atoe penati mumwite wa mchongo? Kachomoa ili muache kuwaita wa mchongo wanapotoa penati mechi za Simba.

Na refa endelea kupeta hivo hivo hata pale Mudhatir anapojigeuza kipa na kudak hadi pale hawa Ng'ombe fc watakapoacha kuwaita wa mchongo
 
Back
Top Bottom