Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
We unataka tufungwe sasa akitoka sureboy atacheza nani nafasi yake?? Bila ile card angemuuacha yule jamaa ile ilikua ni kamba kabisaProfesa awe makini na Sure Boy! Ameshakula kadi ya njano. Akimuacha mpaka mwisho, atapigwa kadi ya pili ya njano + red kadi!
Ni mwepesi wa kupaniki na kutoka nje ya mchezo.