Acha upumbavu mkuu,haraka ya nini kujibia uzi?,always try hard to read to understood, sio kuuliza maswali, sasa hao uliowataja mtoa hoja hajasema wamepitia Timu boraJamaa muongo ww samata
Mzamiru na mwamnyeto walicheza lini AZAM mbona unatupiga kamba mchana kweupe.