Azam fc & Azam academy ni chuo cha mpira Tanzania

Azam fc & Azam academy ni chuo cha mpira Tanzania

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Kama ukibisha njoo ubishe kwa hoja

IMG_20230326_160043.jpg
 
Jamaa muongo ww samata
Mzamiru na mwamnyeto walicheza lini AZAM mbona unatupiga kamba mchana kweupe.
 
Unapomsifu mwenye mbio msifu na anayemkimbiza, hao uliowataja wameenda kung'ara zaidi wakiwa na simba hivyo ungeapricieti walioo hivi sasa maana hawapo azam
 
Jamaa muongo ww samata
Mzamiru na mwamnyeto walicheza lini AZAM mbona unatupiga kamba mchana kweupe.
Waliocheza azam wamewekewa juu nembo ya Azam acha kukurupuka
 
Jamaa muongo ww samata
Mzamiru na mwamnyeto walicheza lini AZAM mbona unatupiga kamba mchana kweupe.
Acha upumbavu mkuu,haraka ya nini kujibia uzi?,always try hard to read to understood, sio kuuliza maswali, sasa hao uliowataja mtoa hoja hajasema wamepitia Timu bora
 
Acha upumbavu mkuu,haraka ya nini kujibia uzi?,always try hard to read to understood, sio kuuliza maswali, sasa hao uliowataja mtoa hoja hajasema wamepitia Timu bora
Anakurupaka sana ndo maana huwa wanafeli mtihani hawa vijana
 
Tungekua na academy kwa hata hizi timu zetu kubwa, huenda tungetisha kimataifa
 
Back
Top Bottom