Azam FC endeleeni na Hashim Ibwe, Zaka Zakazi mtafutieni chaka lingine

Azam FC endeleeni na Hashim Ibwe, Zaka Zakazi mtafutieni chaka lingine

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hashimu Ibwe ni kijana, ni mweledi, anaufahamu mpira, ana mtaji wa mashabiki zake, anafahamika na ana bahati kweikwei.

Au nyie hamuoni?
 
Ibwe unajipigia debe
sio Ibwe huyu, wala sijawahi kuonana na kuwasiliana nae, ila mm ni mkereketwa wa uwekezaji kwenye mpira uendane na mafanikio kwenye mpira ili kutoa fundisho kwa matimu yetu makubwa ambayo yanataka mafanikio bila kuwekeza. Viongozi wa timu kubwa walishagundua kuwa mashabiki na wanachama wa timu hizi wana haja tu na matokeo viwanjani kuliko uwekezaji kwenye klub. Ndio maana vingozi wa hizi timu wanawaza matokeo ya viwanjani zaidi kuliko kitu kingine chochhote.
 
Back
Top Bottom