Azam fc fahari ya Chamazi

Azam fc fahari ya Chamazi

ASANTE SANA GL
FB_IMG_16394183873125330.jpg
 
Mmebaki kuturingishia gari yenu tu uwanjan zero

Mzee bakhresa afukuze had wafagiaji aanze upya kabisa

Aajir mtendaj mkuu toka nje sport director toka nje

Mmevimbiana hapo chamaz kwa pesa za bure za mzee wa watu

Kwa umri wa mzee bakhresa anahitaji furaha na s kumpa stress na furaha n ushindi tu
 
Back
Top Bottom