Azam Fc hata mkitolewa siwadai kitu, refa anajua anachofanya

Azam Fc hata mkitolewa siwadai kitu, refa anajua anachofanya

Siku ingine watoe ela kwa refa hii game wangeingia makundi vizuri tu
 
Azam wemezingua wenyewe. Wamepata clear chance kama tatu hivi wamekosa!
 
Azam hawapaswi na hawakupaswa ingia
 
Penalty mbili refa kawanyima AZAM na walichokuwa wanakifanya waarabu ni utoto
 
Azam leo wamepambana sana. Hongereni

Ila qmmk wanachocheza hawa wapuuzi hadi sasa sijaelewa.
 
Back
Top Bottom