GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
We tulia dawa ikuingie we "mamioto fc" mbona husemi Ruvu Shooting na prison wanavyokamia wakicheza na Yangu, ila wakicheza na simba wanakuwa mdebwedo!!Wanafiki wakubwa nyie na natamani mno mmalize mkiwa Nafasi ya Saba au hata ya Kumi Ligi Kuu ya NBC ikimalizika.
Yaami Michezaji yenu akina Morris, Kangwa, Asamoah, Miguna, Mudathiri na Chilunda inacheza kwa Nguvu na Kukamia pale tu wakicheza na Simba SC ila wakicheza na Yanga SC wanakuwa Laini Laini tu kama Watoto wa Kike?
Na Laana yangu lazima itawapata.
Kwahiyo Wewe ukija kuwa Kocha ukiwa na Mchezaji asiye na Nidhamu kama Bernard Morrison na Mgonjwa bado kama Jonas Mkude utawapanga katika Mechi?Nakujibu brother. Mimi sio Simba ila mechi ya jana mlimuhitaji sana mzee wa bisibisi aka morison na mkude.
Yule rasta wenu mechi kubwa huwa hamna kitu. Nisamehee bure. Na kocha wenu hajui mechi gani achezeshe kina nani
Siku hizi hata ukipost hamna anayechangia maana umekuwa kama debe tupu.
Nadhani ameshapata muongozo...Soka la bongo ndivyo lilivyo...