Azam FC inavyowapa taabu wachambuzi wa Azam Tv kuwatetea

Azam FC inavyowapa taabu wachambuzi wa Azam Tv kuwatetea

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Wachambuzi na watangazaji wa Azam Tv wanapata taabu sana kuwatetea akina Faisal na wenzake,

Timu inabebwa haibebeki wanaulizwa hiyo ni penati au la, wanapatwa na kigugumizi
Kuwatetea Azam FC lazima uwe na sifa za uchawa
 
Nami nimeshangaa kabisa, yaani mchambuzi anaulizwa lile ni goli sio goli, anaanza sababu kibao wakati Pamba kanyimwa goli halali. Na wanajifanya kutumia vi maneno vya kizungu kujificha humo. Ila Mungu sio Athumani Pamba kashinda licha ya kanyimwa penati na goli.
 
Azam alikuwa afe goli mbili au tatu
 
Kwakweli ameharibu,ile siyo penati maana aliyeshika alikuwa mchezaji wa namungo ikatafsiriwa ni wa Dodoma jiji.
Siku katelefoni akistaafu siasa na timu inashuka
 
Nadhani Azam wameanza kupata homa ya mechi ya Simba! Wamepoteza utulivu!

Wakishafungwa na Simba watarudi kwenye Hali yao ya kawaida!
 
Boss hakoseiiii!

Mkose boss, ukose ugali! ... Umaskini ni unafki ni ndugu!
 
Kwakweli ameharibu,ile siyo penati maana aliyeshika alikuwa mchezaji wa namungo ikatafsiriwa ni wa Dodoma jiji.
Ligi yetu kivyetu vyetu kwa kweli.
Hao wanaotoa rankings za ligi haya sijui hawayaoni?
 
Ningekua bakresa hela ningeweka jangwani au msimbazi 5yrs ningeingiza mpunga wa maana
Kila kitu its not about money,sometimes ali invest kwenye timu yake sio ili apate faida ila ili awe na power kwenye media zake pia.
 
Hii timu hata round ya kwanza kipindi wamekutana na Pamba wangepoteza wamshukuru refa
 
Back
Top Bottom