kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,183
- 1,619
Hawa marefa wa hii ligi sijui wagonga visungura kabla ya kuingia uwanjani🚮😀Kwakweli ameharibu,ile siyo penati maana aliyeshika alikuwa mchezaji wa namungo ikatafsiriwa ni wa Dodoma jiji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa marefa wa hii ligi sijui wagonga visungura kabla ya kuingia uwanjani🚮😀Kwakweli ameharibu,ile siyo penati maana aliyeshika alikuwa mchezaji wa namungo ikatafsiriwa ni wa Dodoma jiji.
Side Mnyamwezi kumbe hakukosea. ' Ligi ya Tanzania INA timu tatu tu'Ningekua bakresa hela ningeweka jangwani au msimbazi 5yrs ningeingiza mpunga wa maana