kishumbaz JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,183 Reaction score 1,619 Feb 9, 2025 #21 Tatama said: Kwakweli ameharibu,ile siyo penati maana aliyeshika alikuwa mchezaji wa namungo ikatafsiriwa ni wa Dodoma jiji. Click to expand... Hawa marefa wa hii ligi sijui wagonga visungura kabla ya kuingia uwanjani🚮😀
Tatama said: Kwakweli ameharibu,ile siyo penati maana aliyeshika alikuwa mchezaji wa namungo ikatafsiriwa ni wa Dodoma jiji. Click to expand... Hawa marefa wa hii ligi sijui wagonga visungura kabla ya kuingia uwanjani🚮😀
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,230 Reaction score 9,889 Feb 9, 2025 #22 jodac said: Ningekua bakresa hela ningeweka jangwani au msimbazi 5yrs ningeingiza mpunga wa maana Click to expand... Side Mnyamwezi kumbe hakukosea. ' Ligi ya Tanzania INA timu tatu tu'
jodac said: Ningekua bakresa hela ningeweka jangwani au msimbazi 5yrs ningeingiza mpunga wa maana Click to expand... Side Mnyamwezi kumbe hakukosea. ' Ligi ya Tanzania INA timu tatu tu'