Azam FC kama mnajua hamna malengo yoyote kwanini mnang'ang'ania wachezaji bora na kukamia timu kubwa?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
Hii club binafsi nashindwa kuielewa ina malengo gani, Wachezaji bora kama Yoro diaby, Gibril Sillah, Fei toto nk.

Wote wana viwango vikubwa ila hawajulikani wanapambania kitu gani, sanasana wanang'ara wanapokutana na timu za Kariakoo tofauti na hapo shughuli yao inakwisha.

Timu inawachezaji bora ila inatolewa katika hatua za awali kabisa za CAFCL pia huko shirikisho haijawahi kutinga hata hatua ya makundi 👀

Ila wakikutana na Yanga utadhani wapo CAFCL hatua ya semi finals 😁

Hii timu ina shida gani?
 
Watakuwa wamechukua nafasi ya Ihefu! Ile timu msimu mzima ilikuwa inajiandaa kwa ajili ya kucheza na Yanga tu! Baada tu ya kuifunga Yanga, hugeuka na kuwa pombe ya kwenye sherehe! Mpaka inashuka daraja.
 
Hamna timu pale, sijuwi malengo yao yanakuwaga yapi. Ni kama vile wapo wapo tu.
 
Dube alishalimaliza kusema kila kitu!!, Hakuna mchezaji mwenyew malengo ya kufika mbali kimpira akaenda kucheza Azam!!. Azam ni kea wachezaji watafuta hela sio mpira zaid!.
 
Watakuwa wamechukua nafasi ya Ihefu! Ile timu msimu mzima ilikuwa inajiandaa kwa ajili ya kucheza na Yanga tu! Baada tu ya kuifunga Yanga, hugeuka na kuwa pombe ya kwenye sherehe! Mpaka inashuka daraja.
Una uhakika Ihefu ilishuka daraja?
 
Una uhakika Ihefu ilishuka daraja?
Una uhakika Ihefu haijawahi kushuka daraja, na msimu uliofuata ikapanda tena ligi kuu; na baadaye kununuliwa na Lameck, na kubadilishwa jina?

Au umezaliwa mwaka 2022? Maana yenyewe ilishuka daraja msimu wa 2021!
 
Hii club binafsi nashindwa kuielewa ina malengo gani, Wachezaji bora kama Yoro diaby, Gibril Sillah, Fei toto nk.

Wote wana viwango vikubwa ila hawajulikani wanapambania kitu gani, sanasana wanang'ara wanapokutana na timu za Kariakoo tofauti na hapo shughuli yao inakwisha.

Timu inawachezaji bora ila inatolewa katika hatua za awali kabisa za CAFCL pia huko shirikisho haijawahi kutinga hata hatua ya makundi 👀

Ila wakikutana na Yanga utadhani wapo CAFCL hatua ya semi finals 😁

Hii timu ina shida gani?
Mbona kama mmeanza kulialia mapema?

Wewe siyo mwanachama wala mshabiki wa Azam, matumizi yao ya wachezaji yanakuumiza nini? Kwanza Azam ingetawala ligi, kelele zingekuwa nyingi sana.
 
Subiri nikuibie siri ambayo huenda au wote hamjui, mzee bakhresa si mjinga kwamba alianzisha team na asijue malengo yake
timu ya azam ilianzishwa kwa lengo la kuibua vipaji
ilianzishwa kwa lengo la kibiashara,kupata pesa katika mauzo ya wachezaji
azam alianzisha tv kwa ajiri ya kuonesha mpira wa tanzania,akaona hawezi kuwa anaonesha mpira huku yeye hana timu.
azam ilianzishwa kwa lengo la kutatua suala la ukosefu ajira miongoni mwa wanafamilia, ie,nafasi nyeti za azam fc zinashikiliwa na wanafamilia wa bakhresa.
azam ilianzishwa na mtu mpenda mpira wa miguu,alitaka tu awe na timu yake

Kwa nini azam haifanyi vizuri mashindano ya ndani na ya nje?
×kuridhika kwa viongozi
×hakuna presha ya nje ya uwanja
×malengo ya azam si ubingwa wala kimataifa
×wamiliki wa azam hajihusishi na mambo ya urozi,kuhonga marefa,kuhonga timu nk
 
Una uhakika Ihefu haijawahi kushuka daraja, na msimu uliofuata ikapanda tena ligi kuu; na baadaye kununuliwa na Lameck, na kubadilishwa jina?

Au umezaliwa mwaka 2022? Maana yenyewe ilishuka daraja msimu wa 2021!
Sidhani kama Ihefu iliwahi kushuka daraja BAADA ya kumfunga Yanga.
 
Hii club binafsi nashindwa kuielewa ina malengo gani, Wachezaji bora kama Yoro diaby, Gibril Sillah, Fei toto nk.

Wote wana viwango vikubwa ila hawajulikani wanapambania kitu gani, sanasana wanang'ara wanapokutana na timu za Kariakoo tofauti na hapo shughuli yao inakwisha.

Timu inawachezaji bora ila inatolewa katika hatua za awali kabisa za CAFCL pia huko shirikisho haijawahi kutinga hata hatua ya makundi [emoji102]

Ila wakikutana na Yanga utadhani wapo CAFCL hatua ya semi finals [emoji16]

Hii timu ina shida gani?
Acha kutafuta huruma lazima ushinde kwa jasho sio ule ushindi wenu kwa Dodoma jiji
 
Back
Top Bottom