kaka-blaza
Member
- Nov 7, 2019
- 96
- 141
Wakuu kwa yeyote mwenye kufahamu sababu iliyofanya Azam Fc kuwa timu pekee kutoka ukanda huu wa Afrika mashariki kuanzia round ya kwanza kombe la shirikisho, ilhali hata Simba ambaye wachambuzi wengi walikuwa wameshatuaminisha kuwa ataanzia hatua ya kwanza nae ameanzia hatua ya awali kombe la klabu bingwa.
Naomba majibu yenye ufafanuzi yakinifu
Naomba majibu yenye ufafanuzi yakinifu