Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Azam FC tunayo furaha kuutangazia umma kuwa tumeingia makubaliano ya mwaka mmoja ya ushirikiano na klabu ya soka la wanawake ya Fountain Gate Princess.
Makubaliano hayo ni katika kukidhi kanuni ya CAF, iliyoanza kutumika msimu uliopita inayozitaka klabu zinazoshiriki michuano ya Afrika, kuwa na timu za wanawake au kushirikiana katika uendeshaji na taasisi nyingine yenye timu ya wanawake.
Msimu uliopita, tuliingia mkataba wa ushirikiano kama huu na klabu ya soka ya wanawake ya Baobab, ambao tayari umefikia ukomo.
Kwa makubaliano hayo ni rasmi sasa kwamba, Fountain Gate Princess ambayo maskani yake yapo jijini Dodoma