Azam FC kwa hili nao wahesabiwe kuwa ni washirikina?

Ni adhabu hata kwa aliyewafungulia au kuwapa ufunguo
Sheria inajulikana na mtoa hukumu (mfuatilia sheria) ni TFF. Ila ukumbuke uwanja sio wa TFF na haupo chini ya TFF.
 
Fununu zimezagaa mikia wanapulizia dawa za usingizi. Hii siyo utani.
Mlianza Vyura. Oooh, SSC wananunua mechi matokeo yake vyura nao wakanunuliwa kwa bao 1, wakati wao ndio walalamikaji wakubwa. Azam nao wamekula 3.
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Hapo siyo mambo ya uchawi kama mnavyotaka watu waamini. Kuna funun (inawezekana siyo kweli) kuna kemikali zinatembea hapo taifa.
Hizo fununu zipo na baadhi ya milango imeshtukiwa. Hizo ni fununu.
 
TFF nao naona kamà ni nyuki wa mashineni tu. Wanashindwa kushikilia sheria zifuatwe! Itakuwa sasa ni mazoea kwa kila timu kupitia sehem zisizoruhusiwa. Hapo adhabu inawahusu kabisa.
lengo la TFF ni kutaka simba awe bingwa
 
Hapo siyo mambo ya uchawi kama mnavyotaka watu waamini. Kuna funun (inawezekana siyo kweli) kuna kemikali zinatembea hapo taifa.
Hizo fununu zipo na baadhi ya milango imeshtukiwa. Hizo ni fununu.
Hoja dhaifu.........Yanga hakuingia vyumbani kapigwa na Simba.......Azam nao vile vile hapo kuna sababu zipi za kujitetea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fununu zimezagaa mikia wanapulizia dawa za usingizi. Hii siyo utani.
Na kweli mlipuliziwa soka safi mkapaki basi.Pamoja na kukimbia chumbani bado mkafungwa.
Ujinga ni ugonjwa. Pukachaka.
 
Upumbavuh tu na umaskini wa fikra sasa mbona walikula tatu pamoja na kupita huko kote na kutoingia vyumbani? Mbona yanga nao walikula moja? Ni umaskini tu wa fikra... Mpira unachezwa uwanjani.uchawi basi ungefanya team za tanga au bagamoyo ziwe bingwa kila mwaka....au rukwa..

Wanaogopa kupuliziwa dawa kama Al ahly.... Simba wanaroga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavuh tu na umaskini wa fikra sasa mbona walikula tatu pamoja na kupita huko kote na kutoingia vyumbani? Mbona yanga nao walikula moja? Ni umaskini tu wa fikra... Mpira unachezwa uwanjani.uchawi basi ungefanya team za tanga au bagamoyo ziwe bingwa kila mwaka....au rukwa..
Tulia uandike vyema acha jazba.... Mpira wa nongo huujui kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma ulichoandika wewe ndo utaona kuwa umejazibika sana.😁😁😁
Huko nongo mnacheza nyie wenzenu wanacheza uwanjani na ndo maana wanapata matokeo. Yanga waliruhusu kagere aingize kichwa tu.... Wakapata mimba watoto watatu mapacha.

Azam wao wakaja na upumbavuh wao kagere kawakojolea mara mbili okwi once.nao mimba watoto mapacha watatu.

Si mnasema ilitumika condom? Haikusaidia....kagere mhuni kaingiza kichwa na kawazalisha...aliwabembeleza sana "bas nakuingiza kichwa tu baby... Wala sikojolei ndani" matokeo yake mimba watoto watatu. Azam wamepigwa mtungo.😂😂😜😜
Tulia uandike vyema acha jazba.... Mpira wa nongo huujui kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo siyo mambo ya uchawi kama mnavyotaka watu waamini. Kuna funun (inawezekana siyo kweli) kuna kemikali zinatembea hapo taifa.
Hizo fununu zipo na baadhi ya milango imeshtukiwa. Hizo ni fununu.
Baada ya kugundua hizo fununu vip zimezisaidia hizo kuepuka hicho kipigo cha mbwa koko mfano yanga na azam waligundua janja ya simba vip vipigo navyo walivikwepa?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Baada ya kugundua hizo fununu vip zimezisaidia hizo kuepuka hicho kipigo cha mbwa koko mfano yanga na azam waligundua janja ya simba vip vipigo navyo walivikwepa?
Yanga hawakupata kipigo kutoka simba. Ingeweza kuwa either way, ule siyo ushindi wa kipigo.
 
Back
Top Bottom