Sheria inajulikana na mtoa hukumu (mfuatilia sheria) ni TFF. Ila ukumbuke uwanja sio wa TFF na haupo chini ya TFF.Ni adhabu hata kwa aliyewafungulia au kuwapa ufunguo
Hakuna dawa kwenye michezo... kama hujui hujui tu and vice versa is true.
Mlianza Vyura. Oooh, SSC wananunua mechi matokeo yake vyura nao wakanunuliwa kwa bao 1, wakati wao ndio walalamikaji wakubwa. Azam nao wamekula 3.Fununu zimezagaa mikia wanapulizia dawa za usingizi. Hii siyo utani.
Sheria inajulikana na mtoa hukumu (mfuatilia sheria) ni TFF. Ila ukumbuke uwanja sio wa TFF na haupo chini ya TFF.
Huu ujinga usipo kemewa itakuwa kama mazoea.....TFF acheni kufumbia macho matukio ya kipuuziHii imetokea Leo kwenye mechi dhidi ya simba
Hapo siyo mambo ya uchawi kama mnavyotaka watu waamini. Kuna funun (inawezekana siyo kweli) kuna kemikali zinatembea hapo taifa.Mlianza Vyura. Oooh, SSC wananunua mechi matokeo yake vyura nao wakanunuliwa kwa bao 1, wakati wao ndio walalamikaji wakubwa. Azam nao wamekula 3.
lengo la TFF ni kutaka simba awe bingwaTFF nao naona kamΓ ni nyuki wa mashineni tu. Wanashindwa kushikilia sheria zifuatwe! Itakuwa sasa ni mazoea kwa kila timu kupitia sehem zisizoruhusiwa. Hapo adhabu inawahusu kabisa.
lengo la TFF ni kutaka simba awe bingwa[/QUO
Kauli za kushindwa hizo mkuu
Ki vipi?lengo la TFF ni kutaka simba awe bingwa
Hoja dhaifu.........Yanga hakuingia vyumbani kapigwa na Simba.......Azam nao vile vile hapo kuna sababu zipi za kujitetea?Hapo siyo mambo ya uchawi kama mnavyotaka watu waamini. Kuna funun (inawezekana siyo kweli) kuna kemikali zinatembea hapo taifa.
Hizo fununu zipo na baadhi ya milango imeshtukiwa. Hizo ni fununu.
Yes,na hawawezi maana hao ndio washika day wa hzi timuHuu ujinga usipo kemewa itakuwa kama mazoea.....TFF acheni kufumbia macho matukio ya kipuuzi
Na kweli mlipuliziwa soka safi mkapaki basi.Pamoja na kukimbia chumbani bado mkafungwa.Fununu zimezagaa mikia wanapulizia dawa za usingizi. Hii siyo utani.
Ivi wewe unaichukulia Al ahly kama Ndanda eti? Kwa taarifa yako wale jamaa nusu saa kabla wachezaji hawajaingia vyumbani wanatangulia Madaktari.
Ivi wewe unaichukulia Al ahly kama Ndanda eti? Kwa taarifa yako wale jamaa nusu saa kabla wachezaji hawajaingia vyumbani wanatangulia Madaktari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia uandike vyema acha jazba.... Mpira wa nongo huujui kijanaUpumbavuh tu na umaskini wa fikra sasa mbona walikula tatu pamoja na kupita huko kote na kutoingia vyumbani? Mbona yanga nao walikula moja? Ni umaskini tu wa fikra... Mpira unachezwa uwanjani.uchawi basi ungefanya team za tanga au bagamoyo ziwe bingwa kila mwaka....au rukwa..
Baada ya kugundua hizo fununu vip zimezisaidia hizo kuepuka hicho kipigo cha mbwa koko mfano yanga na azam waligundua janja ya simba vip vipigo navyo walivikwepa?Hapo siyo mambo ya uchawi kama mnavyotaka watu waamini. Kuna funun (inawezekana siyo kweli) kuna kemikali zinatembea hapo taifa.
Hizo fununu zipo na baadhi ya milango imeshtukiwa. Hizo ni fununu.
Yanga hawakupata kipigo kutoka simba. Ingeweza kuwa either way, ule siyo ushindi wa kipigo.Baada ya kugundua hizo fununu vip zimezisaidia hizo kuepuka hicho kipigo cha mbwa koko mfano yanga na azam waligundua janja ya simba vip vipigo navyo walivikwepa?