Azam FC kwa hili nao wahesabiwe kuwa ni washirikina?

Yanga hawakupata kipigo kutoka simba. Ingeweza kuwa either way, ule siyo ushindi wa kipigo.
Na kweli waligawana pointi. Unapaki basi na kufanya sherehe ETI nimefungwa moja.
Kwani Chura kapata pointi ngapi kwenye mchezo wao na Azam kapata pointi ngapi??
Ujinga ni ugonjwa. Pukachaka.
 
Mkuu... umenifanya nicheke sana aisee.
 
Reactions: Tui
Ha ha ha... Hawa jamaa sometime wanataka tuwajibu kihuni.maana wanajitoa akili kumbe nasi tukiamua kutoa akili wao wanajikuta wapo matatani zaidi.

Mkuu... umenifanya nicheke sana aisee.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…