AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,053
- 3,586
Sio mzawa kwa sababu ya ujuha wa kukataa uraia pacha.Kally siyo Mtanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mzawa kwa sababu ya ujuha wa kukataa uraia pacha.Kally siyo Mtanzania.
Ana leseni CLASS A?Fred Felix Minziro "Kataraiya Majeshi Baba Isaya"
Kama uliangalia mechi za kimataifa alizocheza Geita basi Azam hatuwezi kumchukua Minziro kama kocha mkuu.Fred Felix Minziro "Kataraiya Majeshi Baba Isaya"
kally sio mzawaKally mbona nae mzawa,
Siyo raia was Tanzania achana na uzawa.Sio mzawa kwa sababu ya ujuha wa kukataa uraia pacha.
Uwezo wake haujaanza kuonekana leo zingatia pia ubora wa wachezaji alionao Kagera sugar.Mtu hajafikisha hata mechi 10 hapo kagera mshaanza kusema sana. Tulia amalize msimu.
Pia rekodi zake za nyuma hazisadifu unachosema.
Aendelee kujifunza zaidi na ikiqezekana aongeze elimu kwa kuwa na CLASS A ya CAF.
Nimetoa vigezo. We unaenda kusema 'mzungu' katufikisha wapi."Mzungu wenu" aliwafikisha wapi kimataifa?
Ukiambiwa utaje mafanikio yake akiwa kocha bila shaka hautakuwa na la kutajaUwezo wake haujaanza kuonekana leo zingatia pia ubora wa wachezaji alionao Kagera sugar.
Apambane afike nafasi ya 4. Na mwakani aonyeshe consistency hiyo hiyo. Hapo ndio ataanza kufikiriwa.Yupo timu ya daraja la kati ambayo malengo yao hawajawahi kuwaza ubingwa.
Ndicho nilicho maanisha mimi,sababu type za wachezaji walioko Simba,Azam wapo na ndio maana naamini Mgunda anawafaa Azam.Mgunda amewahi kumaliza ligi wa 4?
Simba ina wachezaji wengi proffesional na viwango vyao vipo juu hivyo inasaidia kushika mbinu kwa haraka.
Hilo mbona linajulikana na limelalamikiwa sana. Naamini ukitafuta inawezekana zipo nyuzi zinaongelea hayo.ubaguzi upi Azam f.c wameufanya,embu fafanua labda?
kama iyo ndo sababu yako vipi kwa timu zilizoshuka daraja kama Gwambina,Mbao,Toto,Aliance nao walikua wabaguzi?.Hilo mbona linajulikana na limelalamikiwa sana. Naamini ukitafuta inawezekana zipo nyuzi zinaongelea hayo.
Wapi nimesema Yesu amewabania? Mimi kiroho safi nimetoa ushauri njia inayoweza kuwaletea baraka, ni uamuzi wao nini wataamua kufanya.kama iyo ndo sababu yako vipi kwa timu zilizoshuka daraja kama Gwambina,Mbao,Toto,Aliance nao walikua wabaguzi?.
alafu unajua kama Azam walishawai kubeba ubingwa inamaana Yesu alisahau kuwabania wasibebe ubingwa?
👇iyo laana wakati Azam wanabeba ubingwa mtoa laana alijisahau akaondoa iyo laana?Wapi nimesema Yesu amewabania?
Laana ya udini itaendelea kuwaandama mpaka waungame na kumkiri Kristo kuwa ndiye Bwana na mwokozi wa maisha yao
Inaonekana mbishi sana wewe👇iyo laana wakati Azam wanabeba ubingwa mtoa laana alijisahau akaondoa iyo laana?
kama unapenda mpira penda mpira mambo ya misimamo yako ya dini kwenye mpira utajichanganya tu wewe mwenyewe.Wapi nimesema Yesu amewabania? Mimi kiroho safi nimetoa ushauri njia inayoweza kuwaletea baraka, ni uamuzi wao nini wataamua kufanya.
Sipo hapa kubishana ila nimekwambia hizi tuhuma zimekuwepo kwa muda mrefu.