Azam FC mpeni timu huyu mzawa

Ubishi wako unakufanya usiangalie tatizo lilipo na kusaidia kulitatua huko katika source badala ya kumshambulia messenger. Nimekuuliza hii ni mara yako ya kwanza kusikia hizi tuhuma? Nina details zaidi kuhusu nilichosema ila nimeona haihitaji kuziweka wazi. Nimekushauri tafuta nyuzi zingine ujisomee.

Pesa siyo kigezo cha wema maana pesa hiyo hiyo inatumika kila siku kwa uovu pia.

Namshukuru Mungu sijawahi kuendeshwa na chuki hata pale ilipokuwa inaelekezwa kwangu. Kwa hilo nasema Alhamdulillah!
 
nimeshasoma izo tuhuma,ni upuuzi tu inamaana kwenye camera za Azam ni kosa kuonekana mtu kavaa kanzu?
Mkurugenzi wa Azam alikua Dustan Tido Muhando kwani Azam awajui dini yake,au Ivona Kamuntu mtangazaji wangu bora wa Azam tv awajui dini yake.
Acha ujinga uliojaza kichwani.master mind wa miradi ya Azam ni wazungu kwanini asingechagua wa dini yake akachagua waingereza,wacanada n,k?
dini na chuki aviendani utafeli.
 
Tuyamalize. Siri ya mtu imo nafsini mwake. Nimetimiza wajibu wangu wa kuhubiri injili ya upendo.
 
sawa Injili ni upendo na sio chuki.acha chuki.tena kwenye mpira achana napo kabisa pataharibu imani yako huku kuna makorokoro mengi ya dhambi.
Ulianza kwa kujibu post yangu ambayo nilikuwa nakemea chuki, naona umenigeuzia kibao. Kama nilivyosema, siri ya mtu imo nafsini mwake. Tutakaa hapa tubishane usiku na mchana nani ni mwema nani ni mbaya, ila nafsi zetu ndiyo zinajua nini tunawawazia wenzetu. Mioyo yetu inabeba mengi ya sirini.
 
wewe ndo unachuki kwa kusema Azam wanaudini,ukanipa kazi ya kutafuta thread za nyuma zinazolalamikia udini wa Azam,,nikatafuta ushahidi kwenye izo nyuzi nikasoma nikaona ni upuuzi mtupu,ushahidi wa kipuuzi kabisa kwenye izo nyuzi.

mimi nikakupa mifano mbalimbali kuonyesha Azam awana udini kama unavyosema ila unachuki zako binafsi.

Alafu nimegundua wewe dini aijui wala mpira aujui upoupo tu yani.
 
Hahahah 🤣😂🤣 Sina mood ya kubishana ndiyo maana unaona naenda easy na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…