AZAM FC Msimu 2026-2027 tunawadai ubingwa sajili zenu zinaakisi hivyo

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,333
Kiukwel naona kabisa mabos pale viunga vya Chamaz wamechafukwa sana sio kwa sajili hizi tunazoziona

Wana kocha MZURI mwenye uzoefu wa kutosha na soka la vilabu AFRIKA hii amefundisha timu kubwa ukanda.wa UNAF

Mwaka wa kwanza ulijifinza tamadun la soka la kitanzania sasa msimu huu tuna den nawe la ubingwa

Ukiangalia kule jangwan aina za sajil zao naona yeyote anayeweza piga danadana aje kwa hyo dall za ubingwa hamna pale

Wekundu nao n kama ndugu zao wa kijana TU japo wao wana kaunafuu fulan timu Yao n kama imejipata kiasi

Ila kwa azam mkikosa ubingwa mwaka huu KWAKWELI hamishen timu iende ikashiriki ligi kuu ZANZIBAR au somalia m a kila.kitu kwa sasa
 
Azam kupata ubingwa wa nbc sahau labda africa confederation cup
 
Huwez mwacha Akaminko ubaki na Sadio then uwe bingwa
 
Back
Top Bottom