Azam FC, Simba FC na Yanga SC mnunueni beki wa Mashujaa "Shedrack"

Mtu MWENYE AKILI sawa swa angeweza kusema.

1. Beki wa kati anaitwa shadrack.......

2. Ni mchezaji wa Mashujaa ya kigoma......

3. Historia Fupi ya mchezaji.

4. Urefu wake ni Futi..........

5. Uimara wake upo......
,,,,,,,,,Tacling,
,,,,,,,,,,header,
,,,,,,,,,,speed,
,,,,,,,,,,,kusoma mchezo,
,,,,,,,,,,,,passing,
,,,,,,,,,,,,,kiongozi nk.
,,,,,,,,,,,, Kukaba nk.

ANDIKA KAMA MSOMI.
HOME OF GREAT THINKES
 
Wewe nawe kwakumpenda rafiki yako! sijui anakupa mautamu gani Maskini!
 
Urafiki wa kweli huu , mtu kala ban lakini daily kaka hauishi kumtaja bwana Mwalimu hapa jamvini

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu uandishi ni kipaji msamehe tu
 
Mtu MWENYE AKILI sawa swa angeweza kusema.

1. Beki wa kati anaitwa shadrack.......

2. Ni mchezaji wa Mashujaa ya kigoma......

3. Historia Fupi ya mchezaji.

4. Urefu wake ni Futi..........

5. Uimara wake upo......
,,,,,,,,,Tacling,
,,,,,,,,,,header,
,,,,,,,,,,speed,
,,,,,,,,,,,kusoma mchezo,
,,,,,,,,,,,passing,
,,,,,,,,,,,,kiongozi nk.
,,,,,,,,,, Kukaba nk.

ANDIKA KAMA MSOMI.
HOME OF GREAT THINKES
 
Spoon feeding kwa level yako haikufai - profile ya mhusika itafute - how great are you!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…