njoo uwasaidie wenzio washapigwa kelbu moko dkk ya 63 nwHabari za mda huu wana michezo
Leo kutakuwa na mechi ya kukata na shoka apo LITI kati ya Azam fc itayochuana na SBS
KISASI CHA MAPINDUZI CUP LEO KINALIPWA
Vijana wapo tayari wamejiandaa kupambama
AZAM FC TEAM BORA BIDHAA BORA
Mnashinda nini? Njaa auAzam tunashinda
dah aisee mmelipa haswaaaHabari za mda huu wana michezo
Leo kutakuwa na mechi ya kukata na shoka apo LITI kati ya Azam fc itayochuana na SBS
KISASI CHA MAPINDUZI CUP LEO KINALIPWA
Vijana wapo tayari wamejiandaa kupambama
AZAM FC TEAM BORA BIDHAA BORA
Akikujibu nitag😎Ngapi ngapi hukoo
Matokeo ni ngapi ngapi?Hakuna timu hapa ya kuchukua ubingwa miaka 20 ijayo
Azam kapigwa 1 bila, pia alicheza mchezo mbovu kuliko SimbaMatokeo ni ngapi ngapi?
Hawezi kujibuMatokeo ni ngapi ngapi?
Hii timu nayo inasajili wachezaji wa kila aina! Wakianza tu kuwalambisha ma ice cream yao, wanaanza kuota vitambi!Azam kapigwa 1 bila, pia alicheza mchezo mbovu kuliko Simba
Ameshafuzu kwenda shirikisho kwa mtazamo wa msimamo wa ligi ulivyo, ni ngumu kwa timu yenye points 28 kumzidi mwenye points 43 huku michezo ikiwa imebakia 9 tu.Hii timu nayo inasajili wachezaji wa kila aina! Wakianza tu kuwalambisha ma ice cream yao, wanaanza kuota vitambi!
Anyway, Singida Big Stars ana nafasi kubwa ya kushika nafasi ya 3 au 4, na hivyo kuiwakilisha nchi kombe la Shirikisho.