Azam FC tunalipa kisasi leo kwa Singida tuombeane tu

Azam FC tunalipa kisasi leo kwa Singida tuombeane tu

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za mda huu wana michezo

Leo kutakuwa na mechi ya kukata na shoka apo LITI kati ya Azam fc itayochuana na SBS

KISASI CHA MAPINDUZI CUP LEO KINALIPWA

Vijana wapo tayari wamejiandaa kupambama

AZAM FC TEAM BORA BIDHAA BORA
 
njoo uwasaidie wenzio washapigwa kelbu moko dkk ya 63 nw
 
Habari za mda huu wana michezo

Leo kutakuwa na mechi ya kukata na shoka apo LITI kati ya Azam fc itayochuana na SBS

KISASI CHA MAPINDUZI CUP LEO KINALIPWA

Vijana wapo tayari wamejiandaa kupambama

AZAM FC TEAM BORA BIDHAA BORA
dah aisee mmelipa haswaaa
 
Azam kapigwa 1 bila, pia alicheza mchezo mbovu kuliko Simba
Hii timu nayo inasajili wachezaji wa kila aina! Wakianza tu kuwalambisha ma ice cream yao, wanaanza kuota vitambi!

Anyway, Singida Big Stars ana nafasi kubwa ya kushika nafasi ya 3 au 4, na hivyo kuiwakilisha nchi kombe la Shirikisho.
 
Ameshafuzu kwenda shirikisho kwa mtazamo wa msimamo wa ligi ulivyo, ni ngumu kwa timu yenye points 28 kumzidi mwenye points 43 huku michezo ikiwa imebakia 9 tu.
 
Singida anachotaka ni kumaliza nafasi ya tatu kwa Sasa ili aanzie hatua ya pili kwenye championship na kifupi hii ndio timu Bora msimu huu kwenye NBC
 
Back
Top Bottom