Ndiyo masna Ally Kamwe akiita timu ndogo ZakaHii timu nayo inasajili wachezaji wa kila aina! Wakianza tu kuwalambisha ma ice cream yao, wanaanza kuota vitambi!
Anyway, Singida Big Stars ana nafasi kubwa ya kushika nafasi ya 3 au 4, na hivyo kuiwakilisha nchi kombe la Shirikisho.
Nafasi ya pili sio ya tatuSingida anachotaka ni kumaliza nafasi ya tatu kwa Sasa ili aanzie hatua ya pili kwenye championship na kifupi hii ndio timu Bora msimu huu kwenye NBC
Ona sasa mpaka tumefungwa...Habari za mda huu wana michezo
Leo kutakuwa na mechi ya kukata na shoka apo LITI kati ya Azam fc itayochuana na SBS
KISASI CHA MAPINDUZI CUP LEO KINALIPWA
Vijana wapo tayari wamejiandaa kupambama
AZAM FC TEAM BORA BIDHAA BORA
πππ kautelekeza hana hamu nao nimemkuta ofisi za JF analilia moderator waufute uzi.Naona mtoa mada ameukimbia uzi wake!! Hii dunia haiko fair hata kidogo. π
Kuliko simba na yangaAzam kapigwa 1 bila, pia alicheza mchezo mbovu kuliko Simba
Pole sana kwa kichapoHabari za mda huu wana michezo
Leo kutakuwa na mechi ya kukata na shoka apo LITI kati ya Azam fc itayochuana na SBS
KISASI CHA MAPINDUZI CUP LEO KINALIPWA
Vijana wapo tayari wamejiandaa kupambama
AZAM FC TEAM BORA BIDHAA BORA
.Ahsante Kwa taarifa...