chaduma
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 213
- 267
Ndiyo masna Ally Kamwe akiita timu ndogo ZakaHii timu nayo inasajili wachezaji wa kila aina! Wakianza tu kuwalambisha ma ice cream yao, wanaanza kuota vitambi!
Anyway, Singida Big Stars ana nafasi kubwa ya kushika nafasi ya 3 au 4, na hivyo kuiwakilisha nchi kombe la Shirikisho.