Hongera saana Azam kwa ushindi huo.
Ila wachezaji mnatatizo kubwa la kujisahau.
Mtakumbuka mwaka jana mloishinda kama hivo,mkatupa moyo,mkaenda ugenini mkapigwa Nne.
Mjue kwamba mnalipwa mishahara mikubwa kwa kazi mnayoifanya na matarajio ya mwajiri wenu.
Ipo siku atawachoka,sasa leo upo Azam fanya mambo ya kukufanya uendelee kuwa Azam.Ujue ukitoka Azam unaenda mchangani.Lazima mjitambue,sio mbwembwe nyingiii
Samata Anajitambua ndio maana juhudi zake zimemfikisha hapo alipo.
Ole wenu muende kwao mfungwe nne tena,mtakuwa hamna tofauti yenu na Ndanda FC
Mjue kwamba mnashutma kubwa sana za kupanga mechi za ndani,sasa ili watu wajue kwamba nyie ni level nyingine na mnastahiki kufanya vizuri,basi ni kuonyesha uwezo wenu kwenye mashindano makubwa kama haya.Ushindi wa leo umetutia moyo,lakini mjipange