Tunaangalia mchezo unaooneshwa mubashara kupitia Azam sports hd1...ligi kuu tz Kati ya Azam fc dhid ya Namungo fc.
Changamoto ni rangi ya jezi ya timu zote. Azam wamevaa blue huku Namungo wamevaa green inayofanana sana na blue ya Azam.
Ni dhahir sio tu watazamaji tunapata taabu kuwatambua ila hata wachezaji nao wanatoa boko mara kadhaa kwa kuwapasia wapinzani.
Ina maana hamkujua kama jezi zinashabihiana!?