Azam FC Vs Namungo; Kuvaa jezi rangi zinazoshabiihana imekaaje?

mtozatozo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2021
Posts
459
Reaction score
415
Tunaangalia mchezo unaooneshwa mubashara kupitia Azam sports hd1...ligi kuu tz Kati ya Azam fc dhid ya Namungo fc.

Changamoto ni rangi ya jezi ya timu zote. Azam wamevaa blue huku Namungo wamevaa green inayofanana sana na blue ya Azam.

Ni dhahir sio tu watazamaji tunapata taabu kuwatambua ila hata wachezaji nao wanatoa boko mara kadhaa kwa kuwapasia wapinzani.

Ina maana hamkujua kama jezi zinashabihiana!?

Azamungo.jpg
 
upo sahihi mkuu!?nililiona hilo! huu ni uzembe mkubwa sana!!
 
Tunaangalia mchezo unaooneshwa mubashara kupitia Azam sports hd1...ligi kuu tz Kati ya Azam fc dhid ya Namungo fc.

Changamoto ni rangi ya jezi ya timu zote. Azam wamevaa blue huku Namungo wamevaa green inayofanana sana na blue ya Azam.

Ni dhahir sio tu watazamaji tunapata taabu kuwatambua ila hata wachezaji nao wanatoa boko mara kadhaa kwa kuwapasia wapinzani.

Ina maana hamkujua kama jezi zinashabihiana!?
kufanana kwa jezi kati ya azam na namungo mechi ya jana tar 16... waandqaji wanakwama wapi!?
20220317_111226.jpg
 
Tatizo limeanzia mbali tangu maandalizi ya mchezo walio kagua jezi watakuwa na tatizo la uoni hafifu Hadi kuruhusu zitumike
 
Hapo mtazamaji ndio utakuwa kama hauelewi yaani utaona kama zinafanana na hizi quality za wachukiaji wa vipindi vya runinga ila wachezaji wenyewe hawawezi kujichanganya hata kwa bahati mbaya..
 
Ndiyo maana tukasema Putin hana kosa kuivamia Ukraine. Tatizo ni Mmarekani na NATO yake!
 
Back
Top Bottom