Azam fc ilipoanzishwa nilijua itakuja kuwa kilabu bora sana afrika kama TP MAZEMBE na nyingine
zo zilizofanikiwa,kwa kuwa azam fc wana boss(bakhresa) mpenda mpira na
anapesa ya kutosha,nini kimewafanya wawe na uwezo kama wa simba na yanga(timu zinazoongozwa na
wanachama) tu tena muda mwingine hizi timu zinaizidi azam fc(kiuwezo uwanjani).Au walichokosea ni kuingiza uyanga baada ya kumnunua mshabiki kutoka yanga(hapa natania),wamekosea wapi hawa?
Je?,unazani SIMBA na YANGA wataweza kufanikiwa zaidi ya hapo walipo wakiingia kwenye mfumo wa timu kumilikiwa na mtu mmoja au kampuni.
Wachezaji situkonao huku kitaa Choka mbaya hata elfu kumi inawapiga chengani kweli?
Naona mnanunua mechi tu.Kichuya ... Ila ndala fc msibweteke anaweza akawatwanga
Huwezi ukaleta jopo la ufundi kutoka Hispania halafu useme hana nia...pamoja na uwekezaji wote huo...Ina maana boss wao kaona timu inaweza kumpeleka pabaya kaanza kubania pesa,au lengo lake lilikuwa n kuwa na timu ligi kuu basi hana mpango wa kuendelea zaidi
Sasa hivi marefa hawaongeki. Kazi mnayo.Naona mnanunua mechi tu.
Na hata Toto Africa ambayo ni Yanga B sidhani kama kuna siku watakuwa kama Tp MazembeTatizo la Azam fc kujifanya wao ni simba b kwa hiyo laana ya mafisango mwaka huu imehamia simba b na sidhani kama ipo siku azam watakuwa kama tp mazembe