babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Hivi mnakiona hiki kinachotokea hapa chamazi..? Kwa mwendo huu mtaishia kutolewa raundi ya awali michuano ya kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Tatu tulishasema abaki anachezesha ligi ya wanawake au UMISETA. Mwamuzi mbovu haijapata kutokea.Hivi mnakiona hiki kinachotokea hapa chamazi..? Kwa mwendo huu mtaishia kutolewa raundi ya awali michuano ya kimataifa
Dah refa kazingua kinoma yani, kaganda utadhani anasikilizia VARHuyu Tatu tulishasema abaki anachezesha ligi ya wanawake au UMISETA. Mwamuzi mbovu haijapata kutokea.
Mwingine anasema goli mwingine sio goli yaani hadi aibu,,, af azam media si walisema wameleta VAR au ndo ilikuwa janja janja ya kupandishia bando zao?Waamuzi wamejikanyaga sana aisee
Hivi bado anabebwa tuuHuyu Tatu tulishasema abaki anachezesha ligi ya wanawake au UMISETA. Mwamuzi mbovu haijapata kutokea.
Penalty? Faulo ilikuwa ndani ya box Ile au ndo kutanguliza ushabiki tu?Mkuu, huu ni udharimu wa hali ya juu sana yaani basi hata angewapa penati
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
We ni moumbavuhapa azam fc ajabebwa.
Aagh, ajabebwa- Hajabebwa.hapa azam fc ajabebwa.
Yeah,huyo jamaa ni mpumbavu wahediWe ni moumbavu
Timu ivunjwe wapelekwe kiwandani.Hivi mnakiona hiki kinachotokea hapa chamazi..? Kwa mwendo huu mtaishia kutolewa raundi ya awali michuano ya kimataifa
Penat kutoka wapi na ilikua kamchezea rafu nje ya boxMkuu, huu ni udharimu wa hali ya juu sana yaani basi hata angewapa penati
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app