Kuattack mtoa hoja badala ya hoja huwa ni dalili za kuishiwa madini.
Logic ya maamuzi ya advantage huzingatia what if. Huwezi ukaucontrol mpira kwa mkono halafu refa akaacha kuzingatia. Huo mpira haujagongwa katika natural position ya mkono wa mchezaji, ila kwa sababu alifanyiwa faulo. Basi uamuzi ni kuwapa faulo yao. Rudia 'kutizama' kama ambavyo umekuwa :ukitizama tangu kale', utaona kwamba mchezaji alipoangushwa akauzuia kwa makusudi mpira kwa kutumia mikono ili kumshawishi refa apulize filimbi wapewe faulo.
What if angeuacha utembee? Jibu ni kwamba usingebakia pale alipofungia mwenzake, possibility kubwa ungechukuliwa na golikipa, and that's no longer the advantage.