Azam FC wanacheza kama wamekata tamaa, na hivi ndo mwanzo wa msimu

Azam FC wanacheza kama wamekata tamaa, na hivi ndo mwanzo wa msimu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Azam Kwa usajili walifanya kuwaleta wa Colombia tulidhani watatoa changamoto Kwa Yanga kumbe ndo Iko uji hivi.

Azam fc wamekata tamaa

Wanacheza kama wachovu Kweli kweli.

Azam hawezi kupiga pasi 3 zikakamilika dhidi ya JKT TANZANIA

Sasa ni mapumziko Azam hana hata shoot on wala off target hata 1

Azam hana hata corner 1

Azam FC badili benchi la ufundi mapema wanaweza kushuka daraja kabisa
 
Azam Kwa usajili walifanya kuwaleta wa Colombia tulidhani watatoa changamoto Kwa Yanga kumbe ndo Iko uji hivi
Azam fc wamekata tamaa
Wanacheza kama wachovu Kweli kweli au wajawazito.
Azam hawezi kupiga pasi 3 zikakamilika dhidi ya jkt TANZANIA
Sasa ni mapumziko Azam hana hata shoot on wala off target hata 1
Azam hana hata corner 1
Azam fc badili benchi la ufundi mapema wanaweza kushuka daraja kabisa

Ni kama wamechoka sana, hawajapumzika. They don't look fresh
 
Duh huyu jamaa wamemtoa wapi unakosaje pale dakika hizi🚮🚮
 
Back
Top Bottom