Azam FC wanacheza kama wamekata tamaa, na hivi ndo mwanzo wa msimu

Azam FC wanacheza kama wamekata tamaa, na hivi ndo mwanzo wa msimu

We unategemea nini timu ilienda kuokota wachezaji huko Colombia, mara Gambia yaani hata msimu haujaisha. Hii timu inasikitisha.
Azam wamepigwa pale yaani yule mchezaji dk za mwishoni amefanya utoto mpaka unajiuliza kweli huyu professional player au kituko.
 
Azam Kwa usajili walifanya kuwaleta wa Colombia tulidhani watatoa changamoto Kwa Yanga kumbe ndo Iko uji hivi.

Azam fc wamekata tamaa

Wanacheza kama wachovu Kweli kweli.

Azam hawezi kupiga pasi 3 zikakamilika dhidi ya JKT TANZANIA

Sasa ni mapumziko Azam hana hata shoot on wala off target hata 1

Azam hana hata corner 1

Azam FC badili benchi la ufundi mapema wanaweza kushuka daraja kabisa
Katika timu ambayo hata nikisikia wamesajili mvp toka ulaya wala sishtuk na kuogopa ni hii timu haitishi na haitokaa itishe bla bla nyingi watapigwa sana hata na timu za Somalia.
 
Azam anasuka mipango

Screenshot_20240907_105516_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom