Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Inaoneshwa channel gani kwenye king'amuzi cha AzamAlooo sahii wana 2 Kwa 1
Hii haionyeshwi mkuu, nikufuatilia chinchini tuInaoneshwa channel gani kwenye king'amuzi cha Azam
Nakazia nganganga.Kitendo cha kucheza mechi nyingi za kirafiki na timu kubwa kwenye mataifa ya Kiarabu kuna maana kubwa sana.
Na hapa ndiyo utaelewa ni kwanini wameamua kuachana na AZAMKA na kujikita kukitengeneza kikosi chao.
View attachment 2696482
Mkuu imeishajeHii haionyeshwi mkuu, nikufuatilia chinchini tu