Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Kama kawaida yao timu ya soka ya Azam FC imeshafanya yao huko dakika ya 13' kupitia kwa AKAMINKO mpira ukiwa pishi la SIDIBE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaoneshwa channel gani kwenye king'amuzi cha AzamAlooo sahii wana 2 Kwa 1
Hii haionyeshwi mkuu, nikufuatilia chinchini tuInaoneshwa channel gani kwenye king'amuzi cha Azam
Nakazia nganganga.Kitendo cha kucheza mechi nyingi za kirafiki na timu kubwa kwenye mataifa ya Kiarabu kuna maana kubwa sana.
Na hapa ndiyo utaelewa ni kwanini wameamua kuachana na AZAMKA na kujikita kukitengeneza kikosi chao.
View attachment 2696482
Mkuu imeishajeHii haionyeshwi mkuu, nikufuatilia chinchini tu