ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
thanks sana amavubi kwa kuitupia maana net ilikuwa inazingua upande wangu..Home » Unlabelled » BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


