Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

thanks sana amavubi kwa kuitupia maana net ilikuwa inazingua upande wangu..
 

na wewe ni mjinga tu na ndiyo maana unashabikia yanga kwa sababu ni mjinga! yaani mawazo yako azam ife! na isipokufa je? chelsea, man u, liverpool, arsenal, etc zimeanzishwa mwaka gani, mbona hazijafa? ndiyo maana yanga mmejaa chuki na fitina tu!
 
kwani hao SSB kama sio Azam basi wangemnunulia nani? YANGA? nyie mambulululu sana sijui hata kama mna hadhi ya kuwa ma GT
 

huyo ni mchezaji sijui wewe una hadhi gani
 
na wewe ni mjinga tu na ndiyo maana unashabikia yanga kwa sababu ni mjinga! Yaani mawazo yako azam ife! Na isipokufa je? Chelsea, man u, liverpool, arsenal, etc zimeanzishwa mwaka gani, mbona hazijafa? Ndiyo maana yanga mmejaa chuki na fitina tu!

tatizo la makoye na yanga wengi wanabishana tu alimradi waonekane wanabishana
 
Wewe una hadhi ya kuchangia kwenye face book tu, naona hapa mnachanganyana wenyewe,
wewe umeandika au umecopy na ukaja kupaste hapa?

Hiyo hela imetoka kwa bakhresa nimekwambia azam fc wanaingiza mapato gani hadi wanunue hilo bus?
 
Unajua bei yake? Unataka kujenga ghorofa na pesa huna! Majuzi tu timu imekopeshwa na IAR $ 5,000 na hakuanza juzi, huwa anawakopesha mara kwa mara (Rage, 2013). Kwa mwendo huu, jipime kama klabu yako inaweza kununua hata basi la 50m/=.
unajichanganya sana kwenye michango yako
 
jaribu japo kufanya contextual analysis kwenye michango yako hapa
Wewe umeandika au umecopy na ukaja kupaste hapa?

Hiyo hela imetoka kwa Bakhresa nimekwambia Azam Fc wanaingiza mapato gani hadi wanunue hilo bus?
 
Wewe una hadhi ya kuchangia kwenye face book tu, naona hapa mnachanganyana wenyewe,
Kuna ulichochangia hapo? zaidi ku-copy na ku-paste.Tafuta mtu akusaidie kuelewa habari sio kila pumba unaleta JF
Nilishakwambia JF ina standard zake,hizi pumba unazoleta zinahitaji kupepetwa,Man United ,Bayern,Barcelona hawawezi kutumia mabasi ya kichina ya Higer



Angalia hilo bus la Bayern Munich
 
wewe hili basi umelichora hapa?
 
kama ULAYA....kasumba hizi sijui zitaisha lini....si mseme tu AZAM wamenunua BASI ZURI....BTW timu nyingi kama sio zote za ULAYA hazinunui mabasi ZINAKODISHA.......usibabaishwe na rangi zile ni stickers tu zinatoka au kuwekwa within minutes
 
...tukifika huko dar tunakodi ngalangala ya mbagala na tunawagonga goli hao lambalamba,chezeya mbeya city weye...!?
 
jaribu japo kufanya contextual analysis kwenye michango yako hapa

Nimekwambia tangu mwanzo,Azam FC haina mapato ya kuweza kununua hilo bus,basi limenunuliwa na pesa za Bakhresa.
Maendeleo tunayozungumza kwenye soka letu ni klabu ziweze kujiendesha kununua wachezaji na kulipa wachezaji/makocha mishahara kwa pesa za klabu na sio pesa za watu binafsi.Mapato ya klabu yanaweza kutokana na gate collection,kuuza wachezaji,kuuza bidhaa za klabu (merchandise),mikataba ya udhamini na makampuni mbalimbali.So far gharama zote za Azam FC still ni pesa kutoka mfukoni kwa Bakhresa
 
Basi lenyewe HIGER la kichina si Kama YUTONG tu,man u au real Madrid ,Barcelona hawawezi kupanda gari la mchina ..Azam wanunue Hadi ndege ubingwa wasahau..unacheza na zengwe

jipe moyo wa kijinga tu..
 

tunaanza na loss inakuja faida sasa..
 

tunaanza na loss inakuja faida sasa..
 
na wewe ni mjinga tu na ndiyo maana unashabikia yanga kwa sababu ni mjinga! yaani mawazo yako azam ife! na isipokufa je? chelsea, man u, liverpool, arsenal, etc zimeanzishwa mwaka gani, mbona hazijafa? ndiyo maana yanga mmejaa chuki na fitina tu!

Mkuu kifo hakizuiliki. Kifo cha Azam ni suala la muda tu. Hata ukikasirika ukweli utabaki pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…