Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

unajichanganya sana kwenye michango yako

Mie sijichanganyi ila wewe ndiye hunielewi, umezoea kukati na kupesti kazi za watu bila acknowledgement, hiyo inadumaza sana uwezo wa kufikiri. Bin Zubeiry atakuburuza mahakamani muda wowote kwa kutumia blogi yake kwa njia ya plagiarism.
 
soma hapa chini
 
huyu bahkresa shauri zake, hajajifunza wakati ule aliposhabikia CUF kilimtokea nini:A S wink:
Mbona Alifaidika ndio kiini haswa cha Kiwanda pale Tazara NMC Akazawadiwa... hata mimi nisingekoma...
 
basi zuri timu mbooooovu!!! Azam sio timu ya kupambana kuzifunga mambo, ndanda ...timu ya kawaida sana pamoja na uwekezaji mkubwa
 
basi zuri timu mbooooovu!!! Azam sio timu ya kupambana kuzifunga mambo, ndanda ...timu ya kawaida sana pamoja na uwekezaji mkubwa
 
timu za afrika zinajivunia makombe nyiemnajivunia bus
 
Njoeni kesho na ilo basi lenu kwa wazee wa kimataifa wanawasubiri pale Taifa mpigwe nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…