DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
timu za afrika zinajivunia makombe nyiemnajivunia bus
yeboyebo ukoo wenu wote hunijui halafu unajifanya unanijua chura weAcha chuki yebo yebo wewee aka madaso..Hao wanaojivunia pia na wao wanayo mazuri!
Azam ingekuwa timu dhaifu hapo ningekuelewa
yeboyebo ukoo wenu wote hunijui halafu unajifanya unanijua chura we
Basi la mchina, hamna club ya ULAYA INA basi duni namna hiiHome » Unlabelled » BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ahsante na samahani kwa kutokuelewaNaona hujanielewa, sijamaanisha ni wewe..bali ni young Africans
Yaani inaniuma maana jamaa anaivest fedha nyingi sana kwenye timu, anawajali wachezaji lakini bure kabisa