Hapo vyeti vimekataaa....wameona kabisa akienda caf hataweza kukaa bench ndio maana.Duuh ila jamaa yuko vizuri inawezekana wameshafanya usajili wa kocha mbadala maana ligi bado ni mbichi
Bongo bwana...kocha anafukizwa kwenye friendly match š¤£š¤£š¤£š¤£Baada ya kutoa sare ya Taifa ya Jang'ombe, Azam FC wameamua kusoma Cuba mapema.
Wameona huyu Kocha hana mechi ngumu wala rahisi kwake.
Wameamua waachane mapema, uzito wa Kikosi cha Azam FC ulimzidi mwalimu yaani.Bongo bwana...kocha anafukizwa kwenye friendly match [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila hapa azam wameona mbali....sasa watafute kocha wa ukweli. Kama vipi wamchukue mosimane. Hawashindwi kkumlipa million 400 kwa mwezi
Hana qualifications ndio ishu kubwaWameamua waachane mapema, uzito wa Kikosi cha Azam FC ulimzidi mwalimu yaani.
Kocha bora anahitaji wachezaji bora vile vile wakuendana na falsafa zake. Mpira wetu Afrika makocha wanajitahidi kuendana na tabia zetu, wanasajili viongozi kisha kocha anakuja kuhangaika na wachezaji mfano Simba na kocha wao huyu Mserbia.Ndugu zangu, naomba mwenye utaalam haswa anieleze, upi hasa mchango wa "kocha" mzuri kwenye ushindi wa timu? Namaanisha mchango wa kocha tutaupa asilimia (%)ngapi?
Mbona makocha wanaoonekana wazuri wanakuwa na bahati ya kuwa na kikosi bora? Pep Gudiola, Mourinho, Klopp mbona walikuwa na best squad?
Hivi ni kweli Gudiola kwa mbinu zake akipewa Ruvu shooting ya sasa anaweza kushinda NBC Premier league?
Nililiona hili mapemaAzam FC wameachana rasmi na kocha wao mkuu Abdihamid Moallin pamoja na msaidizi wake Omary Nasser.
"Tumefikia makubaliano kwa pande mbili na Kocha wetu, Abdihamid Moallin pamoja na msaidizi wake Omary Nasser, kuachia ngazi kama kocha mkuu, na msaidizi mtawalia".
"Hata hivyo, makocha hao wataendelea kubaki kama sehemu ya idara ya ufundi klabuni kwetu katika nafasi nyingine ambazo tutazitangaza hapo baadaye".
"Kwa sasa timu itakuwa chini ya Daniel Cadena, ambaye ni kocha wa makipa hadi tutakapotangaza kocha mpya".
" Cadena ni kocha mwenye leseni ya juu kabisa ya ukocha, UEFA Pro License".
Huo ndio ukweli wenyewe. Naona sasa caf wamechachamaa kweli kweli hili suala la vyetiNahisi watakuwa hawana sifa za CAF kama yule kocha wa kipindi kile simba...
Hawezi , kila kocha ana mifumo yake na hiyo mifumo yake inahitaji wachezaji wenye ubora kutimiza kile anachowaelekeza.Ndugu zangu, naomba mwenye utaalam haswa anieleze, upi hasa mchango wa "kocha" mzuri kwenye ushindi wa timu? Namaanisha mchango wa kocha tutaupa asilimia (%)ngapi?
Mbona makocha wanaoonekana wazuri wanakuwa na bahati ya kuwa na kikosi bora? Pep Gudiola, Mourinho, Klopp mbona walikuwa na best squad?
Hivi ni kweli Gudiola kwa mbinu zake akipewa Ruvu shooting ya sasa anaweza kushinda NBC Premier league?
Hapo kwenye gadiola kushinda nbc akiwa na kikosi cha Ruvu shooting ni kumuonea. Mi nadhani wacheza wana nafasi kubwa kuliko kocha.Ndugu zangu, naomba mwenye utaalam haswa anieleze, upi hasa mchango wa "kocha" mzuri kwenye ushindi wa timu? Namaanisha mchango wa kocha tutaupa asilimia (%)ngapi?
Mbona makocha wanaoonekana wazuri wanakuwa na bahati ya kuwa na kikosi bora? Pep Gudiola, Mourinho, Klopp mbona walikuwa na best squad?
Hivi ni kweli Gudiola kwa mbinu zake akipewa Ruvu shooting ya sasa anaweza kushinda NBC Premier league?