Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hahahahaHuyu si wadau walisema hiyo ni Pep Gurdiola wa bongo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaHuyu si wadau walisema hiyo ni Pep Gurdiola wa bongo..
Kocha wa viwango nao wanahitaji mihela kaka sio hizi $10,000 tulizozoeaNilishangaa Azam kuwapa mikataba ya miaka 3 Kwa uwekezaji waliofanya wanahitaji kocha wa viwango na wapo wengi
Kocha ana nafasi kubwa sana. Yeye ndio ana set mipango yeye ndio ana recruit wachezaji (kwenye vilabu wanaojielewa). Kuja na mbinu zinazoendana na wachezaji ulionao na kiweza kuwapa motisha ya kuweza kujituma na kufikia kilele cha uwezo wao is the art of good management.Hapo kwenye gadiola kushinda nbc akiwa na kikosi cha Ruvu shooting ni kumuonea. Mi nadhani wacheza wana nafasi kubwa kuliko kocha
Kweli, Azam wanahitaji kocha wa kiwango cha juu, huyu dogo bado kuweza kumanage timu kubwa kama AzamWameamua waachane mapema, uzito wa Kikosi cha Azam FC ulimzidi mwalimu yaani.
Azam inaukubwa gani mkuuKweli, Azam wanahitaji kocha wa kiwango cha juu, huyu dogo bado kuweza kumanage timu kubwa kama Azam
Ukubwa wake unatokana na uwezekaji walioufanya mkuu, Azam wamejitahidi kusajili wachezaji wazuri wa kimataifa, ingawa mafanikio yao badoAzam inaukubwa gani mkuu
Mi nilidhani mtoa comment anasema kocha amewakuta wachezajiKocha ana nafasi kubwa sana. Yeye ndio ana set mipango yeye ndio ana recruit wachezaji (kwenye vilabu wanaojielewa). Kuja na mbinu zinazoendana na wachezaji ulionao na kiweza kuwapa motisha ya kuweza kujituma na kufikia kilele cha uwezo wao is the art of good management.
Angalia kikosi ambacho mourinho alishinda treble na inter...not so many talented players but aliweza kujenga winning mentality kwao. Sisi huku kwetu bongo hatuwezi appreciate kocha kwa sababu kwanza hutana project, nikimaanisha kwamba tunataka mafanikio pasipo kufanya kile mafanikio yanahitaji kutoka kwetu. Pili usajili wanafanya viongozi alafu wanasema mchezaji mali ya club na makocha ni mawakala. Hamna kocha mzuri duniani ataleta mambo ya uwakala kwenye kazi yake. Kocha wa ten percent ni kocha dugi.
Last but not least, lilia bahati!!! Ata katika recruitment ga kocha wamiliki wa timu wanaambia kuwa hiki kilengele ukiangalie🤣🤣🤣🤣
Nitakuoa mfano, sarri alijenga on of the best teams pale napoli, timu ambayo kila mtu alikuwa anatama i kuiona ikicheza. But they didnt win the scudetto.
Pep anajenga timu ambazo unakaa chini unaangalia mpira unasema huyu jamaa nyoko...genius, a man with racing brains when it comes to football but toka atoke barca uefa champions league linampiga chenga kila mwaka.
Tatizo linanza hapo kuwa timu zetu recruitment ya wachezaji anafanya uongozi.Mi nilidhani mtoa comment anasema kocha amewakuta wachezaji
Kama wanataka mafanikio wakubali kutoboa mifuko vinginevyo uwekezaji waliouweka hautakuwa na manufaaKocha wa viwango nao wanahitaji mihela kaka sio hizi $10,000 tulizozoea
I agree. Kwa uwekezaji wao ilitakiwa azam ndio awe mfano wa kuigwa east and central africa. Ila nao wameingia kwenye perenial managerial incompetenceKama wanataka mafanikio wakubali kutoboa mifuko vinginevyo uwekezaji waliouweka hautakuwa na manufaa
Huyu wa dodoma jiji mechi ya singida big stars ndio inamsomba na majiHakuna kocha mle. Kocha wa Dodoma jiji na wa simba watafuatia kwenye orodha
Hapa waliingia chaka...alafu bwana tatizo sie hatujui hii football industry.Hakuna kitu hapa,alikuja na upepo wa mapinduzi akajipigia kibonde Gori 9,azamu wakaisi Kuna mwl wa maana.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app