Azam FC yaapa kuikalisha Simba ligi kuu

Azam FC yaapa kuikalisha Simba ligi kuu

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba ameanza majigambo yake kwa kudai atahakikisha timu yake inaichakaza Simba katika mechi ijayo ili iweze kujikusanyia alama nyingi katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Kocha Cioaba amesema hayo baada ya kuona namna ya uchezaji wa wapinzani wao walicheza siku ya Jumamosi dhidi ya Ruvu Shooting FC na kutoka na ushindi wa mabao 7-0.
"Simba ni moja ya timu nzuri wanacheza mpira mzuri, na sasa wasubiri kitakachotokea kwenye mchezo huo. Timu yangu (Azam FC) malengo yake hivi sasa tumejipanga katika kila mchezo ni kuwa makini na kukusanya alama nyingi kadiri iwezekanavyo katika mashindano haya ya Ligi Kuu Tanzania Bara,” alisema Cioaba.

Timu ya Azam inatarajiwa kushuka dimbani Septemba 2 mwaka huu dhidi ya Simba SC huku ikiwakosa wachezaji wake wawili ambao ni nahodha Himid Mao 'Ninja' pamoja na kipa Mwadini Ally ambao watakuwa katika timu ya Taifa wakicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Botswana siku hiyo.

Kwa hisani ya EATV
 
Tayari tarehe ya mechi ya Azam na Simba imesogezwa mbele kwa manufaa ya Karia na Wambura.
Huyu Msomali akimaliza miaka minne Itakuwa muujiza..
Kasahau yeye ni Rais wa TFF bado anahudhuria vikao vya Simba. Alikuwepo Zanzibar kabla ya mechi ya Ngao ya Hisani ambako alishiriki Kikao mkakati cha Simba dhidi ya Yanga.
Hapa sio Mogadishu.
 
Mpira 90

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mhenga alishawahi kusema.. "kutesa kwa zamu", Kabla hajatulia mhenga mwenzake akaongezea kwa kusema.. "kila kitabu na zama zake".

Sasa ni muda muafaka wa kuacha kauli hizi za wahenga nguli zitimie.
 
Huyu jamaa haujui "udugu" wetu na Azam ukoje.
Ushauri wangu kwake, kama bado anapenda kuishi nchi ya maziwa na asali, Tanzania.. Achunge Mdomo Wake.
 
Tayari tarehe ya mechi ya Azam na Simba imesogezwa mbele kwa manufaa ya Karia na Wambura.
Huyu Msomali akimaliza miaka minne Itakuwa muujiza..
Kasahau yeye ni Rais wa TFF bado anahudhuria vikao vya Simba. Alikuwepo Zanzibar kabla ya mechi ya Ngao ya Hisani ambako alishiriki Kikao mkakati cha Simba dhidi ya Yanga.
Hapa sio Mogadishu.
Kutesa kwa zamu, umesahau ya Malinzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba ameanza majigambo yake kwa kudai atahakikisha timu yake inaichakaza Simba katika mechi ijayo ili iweze kujikusanyia alama nyingi katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Kocha Cioaba amesema hayo baada ya kuona namna ya uchezaji wa wapinzani wao walicheza siku ya Jumamosi dhidi ya Ruvu Shooting FC na kutoka na ushindi wa mabao 7-0.
"Simba ni moja ya timu nzuri wanacheza mpira mzuri, na sasa wasubiri kitakachotokea kwenye mchezo huo. Timu yangu (Azam FC) malengo yake hivi sasa tumejipanga katika kila mchezo ni kuwa makini na kukusanya alama nyingi kadiri iwezekanavyo katika mashindano haya ya Ligi Kuu Tanzania Bara,” alisema Cioaba.

Timu ya Azam inatarajiwa kushuka dimbani Septemba 2 mwaka huu dhidi ya Simba SC huku ikiwakosa wachezaji wake wawili ambao ni nahodha Himid Mao 'Ninja' pamoja na kipa Mwadini Ally ambao watakuwa katika timu ya Taifa wakicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Botswana siku hiyo.

Kwa hisani ya EATV
Hata Masau Bwire alisema hivyo hivyo!
 
Kuna mhenga alishawahi kusema.. "kutesa kwa zamu", Kabla hajatulia mhenga mwenzake akaongezea kwa kusema.. "kila kitabu na zama zake".

Sasa ni muda muafaka wa kuacha kauli hizi za wahenga nguli zitimie.
Sasa mnao Rais na Makamu wote ni Simba. Iweje wengine waseme International inabebwa?
Goli za manunuzi zimekurudisha hewani?
 
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba ameanza majigambo yake kwa kudai atahakikisha timu yake inaichakaza Simba katika mechi ijayo ili iweze kujikusanyia alama nyingi katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Kocha Cioaba amesema hayo baada ya kuona namna ya uchezaji wa wapinzani wao walicheza siku ya Jumamosi dhidi ya Ruvu Shooting FC na kutoka na ushindi wa mabao 7-0.
"Simba ni moja ya timu nzuri wanacheza mpira mzuri, na sasa wasubiri kitakachotokea kwenye mchezo huo. Timu yangu (Azam FC) malengo yake hivi sasa tumejipanga katika kila mchezo ni kuwa makini na kukusanya alama nyingi kadiri iwezekanavyo katika mashindano haya ya Ligi Kuu Tanzania Bara,” alisema Cioaba.

Timu ya Azam inatarajiwa kushuka dimbani Septemba 2 mwaka huu dhidi ya Simba SC huku ikiwakosa wachezaji wake wawili ambao ni nahodha Himid Mao 'Ninja' pamoja na kipa Mwadini Ally ambao watakuwa katika timu ya Taifa wakicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Botswana siku hiyo.

Kwa hisani ya EATV

Huyu naye sijui katokea wapi. Anaanza mambo ambayo siyo tradition ya Azam. Kwanza point nyingi ziwezekanavyo zitatoka wapi wakati maximum ni point 3 tu!. Ana bahati huyu angekuwa Simba au Yanga wangeisha mtimua, hana la maana alilopeleka Azam.
 
Back
Top Bottom